bodi

Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa  ina wajumbe 12 wenye sifa tofauti kulingana na uwakilishi katika bodi hiyo. Mwenyekiti wa bodi hiyo ni Dkt Anselim Tarimo na katibu ni Dkt. Magafu Majura ambaye ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali.
Bodi hii ina jukumu la kushauri kuhakikisha masuala yote ya Hospitali yanatekelezwa ipasavyo.  Orodha ya wajumbe wa bodi hiyo ni kama ifuatavyo: