Habari njema uzinduzi wa chanjo

Posted on: September 17th, 2019

kampeni za Chanjo dhidi ya Surua na Rubella kwa Watoto chini ya Miaka Mitano (5) zimezinduliwa na Mhe: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  tarehe 18 Oktoba 2019 katika Zahanati ya Mshangano iliyopo Manispaa ya Songea, kauli mbiu "Chanjo ni kinga , kwa pamoja tuwakinge"