KATIBU TAWALA RUVUMA ATEMBELEA MTAMBO WA UZALISHAJI HEWA TIBA HOMSO
Posted on: September 4th, 2024Pichani ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa vifaa tiba Isihaka Mohamed, wakati alipo tembelea mtambo wa kuzalisha hewa tiba yenye mgandamizo wa oksijeni (Oxygen) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea wakati alipofanya ziara ya kikazi