RAS RUVUMA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA
Posted on: September 4th, 2024Pichani ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi Mary Makondo(kulia) akipokea taarifa kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea Dr. Magafu Majura(kushoto) mara baada ya kusomewa taarifa hiyo katika ofisi ya Mganga Mfawidhi alipofanya zaiara ya kikazi