RAS RUVUMA ATEMBELEA WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA SONGEA

Posted on: September 4th, 2024

pichani Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akimsalimia mtoto Biesha aliyezaliwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songea alipotembelea wodi ya Wazazi wakati walipofanya ziara ya kikazi