Muuguzi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Hilda Ndambalilo amewataka na kuwahimiza Wauguzi wote mkoani Ruvuma kuzingatia Kanuni na maadili ya kazi ili kulinda taaluma zao na kuhakikisha wanatoa huduma ... Soma zaidi

Muuguzi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Hilda Ndambalilo amewataka na kuwahimiza Wauguzi wote mkoani Ruvuma kuzingatia Kanuni na maadili ya kazi ili kulinda taaluma zao na kuhakikisha wanatoa huduma ... Soma zaidi
Timu ya Madaktari Bingwa na Mabingwa wabobezi 35 wa Dkt Samia kutoka Hospitali za Nyanda za Juu kusini ikihusisha Hospitali za mikoa ya Ruvuma, Njombe, Mbeya na Songwe wameanza kutoa huduma ... Soma zaidi
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea, Dkt Magafu Majura amesema kuwa wanatarajia kupokea jopo la madaktari bingwa kutoka Hospitali za Rufaa za mikoa ya nyanda za juu kusini a... Soma zaidi
Watumishi wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO) wasisitizwa kujenga mahusiano mazuri baina yao na wagonjwa wakati wote wanapotoa huduma ya matibabu. Wito huo umetolewa n... Soma zaidi
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea na watumishi wote, tunawatakia Waislamu na watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid Al-Fitr... Soma zaidi
Hospitali ya rufaa ya Mkoa Songea inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa mwanamke shupavu katika utoaji huduma za Afya kwa wananchi, umekuwa chanzo cha maendeleo ya taasisi na uokoaji wa m... Soma zaidi
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe: Christina Mndeme akizindua kampeni za Chanjo dhidi ya Surua na Rubella kwa Watoto chini ya Miaka Mitano (5)ulio fanyika tarehe 18 Oktoba 2019 katika Zahanati ya ... Soma zaidi
Ziara ya Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya) wakishirikiana na Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Jakaya Kikwete, watakoa huduma za matibabu pam... Soma zaidi
kampeni za Chanjo dhidi ya Surua na Rubella kwa Watoto chini ya Miaka Mitano (5) zimezinduliwa na Mhe: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma tarehe 18 Oktoba 2019 katika Zahanati ya Mshangano iliyopo... Soma zaidi