KAIMU MGANGA MFAWIDHI HOMSO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO
Posted on: December 14th, 2025
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea Dr. Yona Mwakabumbe Asaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa marehemu Jenista Mhagama ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho.




