KIKAO KAZI WAZIRI WA AFYA

Posted on: December 22nd, 2025


Kikao kazi Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa na wazalishaji wa bidhaa za Afya Nchini pamoja na uzinduzi wa kikosi kazi cha kuharakisha uwekezaji viwanda vya dawa.