NAIBU WAZIRI WA AFYA AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

Posted on: December 15th, 2025


Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Jenista Mhagama, ambayo imefanyka katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Benedict, Abasia ya Peramiho, katika Jimbo Kuu la Songea, desemba 15, 2025