SALAMU ZA PONGEZI

Posted on: November 18th, 2025


Bodi ya ushauri, Menejimenti pamoja na Watumishi wote wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songeatunakupongeza Mhe. Mohammed Mchengerwa kwa kuteuliwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Afya