WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI IBADA YA KUMUAGA JENISTA MHAGAMA
Posted on: December 14th, 2025
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba aongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Jenista Mhagama ambayo imefanyka katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Benedict, Abasia ya Peramiho, katika Jimbo Kuu la Songea, Desemba 15, 2025.



