BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2025/26

Posted on: June 2nd, 2025

Usikose kufuatilia uwasiliswaji wa bajeti ya Wizara ya Afya 2025/26, kuanzia leo Juni 02 - 03 2025 itatakayowasilishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma.