HERI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Posted on: March 7th, 2024

Hospitali ya rufaa ya Mkoa Songea inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa mwanamke shupavu katika utoaji huduma za Afya kwa wananchi, umekuwa chanzo cha maendeleo ya taasisi na uokoaji wa maisha kwa wananchi.