HERI YA SIKUKUU YA EID AL-FITR

Posted on: April 10th, 2024

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea na watumishi wote, tunawatakia Waislamu na watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid Al-Fitr