HOSPITALI YA RUFAA SONGEA YAKABIDHIWA TAA KUTOKA SUNKING
Posted on: September 6th, 2024Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea imekabidhiwa taa moja ya Sola kutoka kwa kampuni ya Sunking, ambayo ni light sensor na yenye ukubwa wa wati 300. makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 6/09/2024 katika ukumbi wa Hospitali.