MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGEA
Posted on: June 29th, 2025
Picha ya pamoja uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea wakiwa katika hali ya furaha na mama aliyejifungua mapacha wanne katika hospitali hiyo. Hali ya maendeleo ya watoto ni nzuri na wameruhusiwa kurudi nyumbani wakiwa na uzito wa kutosha na Afya njema.