MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WATATU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGEA

Posted on: June 29th, 2025

Pichani ni uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea wakiwa katika hali ya furaha na mama aliyejifungua mapacha watatu katika hospitali hiyo. Hali ya maendeleo ya watoto ni nzuri na wameruhusiwa kurudi nyumbani wakiwa na uzito wa kutosha na Afya njema.