Ziara ya Madktari Bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Juu kusini na wa Taasisi ya Jakaya Kikwete

Posted on: September 16th, 2019

Ziara ya Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya) wakishirikiana na  Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Jakaya Kikwete, watakoa huduma za matibabu pamoja na upasuaji  bure  kwa Watoto chini ya Miaka 14  kunazia tarehe 17 hadi 18/10/2019 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya. Tafadhali ukipata taarifa hii mjulishe na mwezako