TATHMINI YA USIMIKAJI WA MFUMO WA KUMSAIDIA MGONJWA AMBAYE AMELAZWA KUMUITA MUUGUZI WA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SONGEA.

Posted on: June 12th, 2025


Pichani kushoto wa kwanza ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea,Magafu Majura, baada ya kumpokea mgeni kutoka kampuni ya Lik & Lambert Consultant, Technician Alphonce Mrema wa pili kushoto aliyekuja kufanya tathmini ya usimikaji wa  mfumo kwa ajili ya kumsaidia mgonjwa ambaye amelazwa kumuita muuguzi wa Afya anapopata changamoto.