UZINDUZI WA KAMPENI YA CHANJO DHIDI YA SURUA NA RUBELLA- MKOANI RUVUMA
Posted on: September 15th, 2019Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe: Christina Mndeme akizindua kampeni za Chanjo dhidi ya Surua na Rubella kwa Watoto chini ya Miaka Mitano (5)ulio fanyika tarehe 18 Oktoba 2019 katika Zahanati ya Mshangano iliyopo Manispaa ya Songea.