WATUMISHI HOMSO WAFURAHIA UJIO WA GARI JIPYA LA WAGONJWA

Posted on: June 9th, 2024

Pichani ni uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea(HOMSO) na baadhi ya watumishi wakifurahia na kuishukuru Serikali kwa kuleta gari jipya la kubebea wagonjwa (ambulance) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea .