Pichani ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi Mary Makondo(kulia) akipokea taarifa kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea Dr. Magafu Majura(kushoto) mara baada ya ku... Soma zaidi

Pichani ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi Mary Makondo(kulia) akipokea taarifa kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea Dr. Magafu Majura(kushoto) mara baada ya ku... Soma zaidi
Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bi Mary Makondo ameipongeza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea kwa kuendelea kutoa huduma bora za matibabu kwa Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo ya jirani P... Soma zaidi
HUZUNI, Baadhi ya Wafanyaki wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea wamejitokeza na kushiriki ibada fupi ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mfanyakazi mwenzao Zebedayo Msigwa ambaye alikuwa Muuguzi k... Soma zaidi
Serikali ya Tanzania imejipanga kuudhibiti ugonjwa wa Mpox usiingie nchini kwa kuimarisha uchunguzi kwa wasafiri kupitia huduma za Afya Mipakani ikiwemo bandari, nchi kavu na viwanja vya nde... Soma zaidi
Pichani (kushoto) ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea Dr. Magafu Mjura akipokea nyaraka za mashine mpya ambayo itatumika kutolea huduma za kinywa na meno (Dental X-Ray) a... Soma zaidi
Waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoani Ruvuma chini ya Taasisi ya JAI Tanzania wamejitokeza kuchangia damu safi na salama katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea ikiwa ni wiki ya maadhimisho ya... Soma zaidi
Mkoa wa Ruvuma umeadhimisha siku ya kumbukumbu ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa pamoja na maeneo mengine katika manispaa ya Songea ambapo kitaifa ... Soma zaidi
Pichani ni uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea(HOMSO) na baadhi ya watumishi wakifurahia na kuishukuru Serikali kwa kuleta gari jipya la kubebea wagonjwa (ambulance) katika hospital... Soma zaidi
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa vifaa kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa njia ya mtandao (Tele-ECHO) ambayo yatawajengea uwezo wataalamu wa... Soma zaidi